Kwa hali isiyo ya kawaida changudoa mmoja huko Naivasha Nairobi Alipewe kichapo cha mbwa mwizi Baada ya kugundulika na wenzake kuwa huwa anauza kwa bei ndogo na saa zingine huwa anatoa kwa mkopo..kitendo hicho kimelaaniwa na wenzake kwa vile kinapunguza bei yao na kuonekana kuwa si  wa gharama...inafikia kipindi watu wanaokuja wanamtafuta yeye tu kwa vile ni wa bei ya chini .....

“Kwani unafikiria sisi tutakula wapi kama utaendelea kujiuza hii bei hasara" Alisikia Changudoa mmoja akisema huku akishusha kichapo...

NAFASI ZA AJIRA 21 ZILIZOTANGAZWA LEO BONYEZA HAPA

Watu mbali mbali waliingilia kati na kuanza kumuokoa katika kichapo hicho...

Mteja mmoja alisikika akisema:

“Unajua huyu mama huwa ananipatia kwa credit on a bad day so siwezi muacha auliwe na hawa wenzake (she offers me services on credit when I’m broke so I can’t let them kill her),”

Changudoa APEWA Kichapo na Wenzake Kwa Kuuza Mwili Wake Kwa Bei ya Chini


NAFASI ZA AJIRA 21 ZILIZOTANGAZWA LEO BONYEZA HAPA