Taasisi ya Kiswahili nchini Canada, Swahili Vision International Association(SVIA) imemtunuku Tuzo ya Heshima msanii Diamond Platnumz kwa kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili kimataifa kupitia muziki wake.