1. Tumemaliza kikao hapa nyumbani kwa dada yake Dilunga Kimara Stop Over.

2. Tumekubaliana kutoa nafasi kwa wanahabari na wadau mbalimbali kumuaga Dilunga, hivyo mwili wa Dilunga tutauaga Alhamisi katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Sept. 19, 2019 na si kesho kama ilivyoelezwa awali.

3. Mwili utasafirishwa Alhamisi jioni kwenda Morogoro na maziko yatafanyika Ijumaa.

4. Mwajiri kampuni ya Jamhuri Media Ltd inagharamia jeneza, usafiri wa mwili na kujengea kaburi.

5. Bajeti ya gharama za kuaga na kuweka msiba imekadiriwa Sh mil. 7. Tunaomba wanahanari popote mlipo tuwezeshe upatikanajinwa fedha hii kwa njia ya michango binafsi na kushirikisha wadau tunaowafahamu.

Unaweza kutoa mchango wako kupitia Namba zifuatazo.

0715305135 (Celina Wilson)
0754055522 (Gloria Tesha)

D. Balile
Mhariri Mtendaji
Jamhuri Media Limited