Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Mwenyeji wake mmoja kati ya Viongozi wa juu wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (U.A.E) katika ukumbi wa watu mashuhuri katika Uwanja wa Ndege wa Dubai, mara baada ya kuwasili kwa ajili ya Ziara ya siku saba U.A.E.