Mwakilishi wa Papa Francis akimjulia hali, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Yuda Ruwa'ichi aliyelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) baada ya kufanyiwa upasuaji.