Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akipokea zawadi iliyotolewa kwa Rais Dkt. John Magufuli na Kiongozi Mkuu wa Kiroho wa Madhehebu ya Kihindu, Mtukufu Mahant Swami Maharaj (kushoto).Kiongozi huyo wa kiroho yuko nchini kwa ziara ya kikazi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni,akielekezwa shughuli zinazofanywa na Taasisi ya BAPS Swaminarayan Santha,ikiwepo utoaji wa elimu,huduma za kiafya, inayosimamiwa na Kiongozi Mkuu wa Kiroho wa Madhehebu ya Kihindu, Mtukufu Mahant Swami Maharaj (kushoto). Kiongozi huyo wa kiroho yuko nchini kwa ziara ya kikazi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiagana na Kiongozi Mkuu wa Kiroho wa Madhehebu ya Kihindu, Mtukufu Mahant Swami Maharaj (kushoto).Kiongozi huyo wa kiroho yuko nchini kwa ziara ya kikazi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiwa katika picha ya pamoja na Kiongozi Mkuu wa Kiroho wa Madhehebu ya Kihindu, Mtukufu Mahant Swami Maharaj (kushoto).Kiongozi huyo wa kiroho yuko nchini kwa ziara ya kikazi.