Bado tuko kwenye headlines za Mwiimbaji wa Bongo Fleva, Alikiba ambae Sep 19, 2019 alifanya mahojiano kwenye kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM kinachoendeshwa na mtangazaji Diva kuelezea yale yanayoendelea mitandaoni kuhusu ndoa yake.

Hapa nimekusogezea Alikiba akizungumza kwa wanaosema Mama yake mzazi ndio chanzo cha matatizo.