Chama cha Mabaharia kimesikitishwa sana na kinakemea kitendo cha vijana wasio na vigezo kujiita mabaharia.

Chama hicho kimechukizwa na utani unaoendelea mitandaoni, kwasababu unaweza kuleta athari kwenye carrier ya ubaharia.

Pichani ni katibu wa chama cha mabaharia captain. ISAYA MWAKIBUDA