Faiza Aly Amekubali Kushindwa na Kuandika Maneno haya katika mtandao wake wa Instagram:

"HAKUNA NAMNA JOSEPH NIMEKUBALI 🙌🏻 ... ..... NIMEKUBALI NA NAKUPENDA SANAAAAAAA 😅😅😅SIJAWAHI KUWACHA BILA AIBU WEWE NDIO KIBOKO YANGU 🙏🙏🙏 MUNGU ASANTE WEWE NDIO UMEAMUA NA MIMI SINA JINISI ILA NAKUPENDAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA NIMEPUMUAAAAAAA NAENDA KUALALA 😇"