Muigizaji na mtangazaji Dokii Wanceslaus ambaye ni ndugu wa msanii Rich Mavoko, ameibuka na majibu kuhusu kuwa na Mwanaume mzee kwenye mahusiano yake.

Akiieleza EATV & EA Radio Digital Dokii Wanceslaus amefunguka

"Sasa Mimi Mwanaume mzee wa nini si nitamuumiza tu, kwanza nitampa kibarua ambacho hawezi kufanya, tunaweza kupata hata kesi nyingine nikajikuta nipo jela. nitampelekesha mzee miondoko ambayo hajazoea kwa mfano mzee amezoea miziki ya 'blues' halafu unampelekea kisingeli nitakuja kuambiwa Dokii nimeuwa", amesema.

Ameendelea kusema bado hajafikia miaka ya kuwa na mahusiano na wazee kwa  sababu ni dada wa makamo na atatafuta mtu wa "size" yake pia hatarajii kuwa na mzee wala watoto kwenye mapenzi.

Aidha amesema kila mtu ana chaguo lake katika mahusiano ila anachokiangalia ni utofauti na akichagua mwanaume huwa  anamuangalia kama anaendana naye au haendani naye.

Pia anapendelea mwanaume ambaye hajaoa na aliye 'single' hata akimuhitaji apate muda wa kumfurahisha na awe anajua kucheza miziki ya kikubwa.

Aidha Dokii amesema Rich Mavoko ana maisha yake mazuri tu nje ya mitandao ikiwemo kuwa baab wa mtoto mmoja na anawajibika vizuri kumtunza mwanaye.
Online Dating Sites That May Actually Surprise You
Dating Sites | Search Ads
|
Sponsored
Getting a Job in Australia Might be Easier Than You Think
Jobs in Australia | Search Ads
|
Sponsored
Partners Happy In Dar-es-salaam, After Anti-Snore Clip Goes On Sale
Silent Snore
|
Sponsored

20 Beautiful Places to Visit Before You Die
ezzin.com
|
Sponsored
25 Foods to Avoid if You Have High Blood Pressure
Luxxory
|
Sponsored
Mbunge aeleza sababu ya kumchagua Alikiba | East Africa Television
Mbunge wa Segerea Bonnah Kamoli amesema anavutiwa sana na Msanii wa Muziki wa Bongofleva nchini Ali Kiba kutokana na ngoma zake, huku akikiri Msanii huyo ni mpiga kura wake.
EATV

TOP STORIES

ENTERTAINMENT
Seyi Shay ataja orodha ya wanaume alio-date nao

CURRENT AFFAIRS
Kama alivyosema Makonda ''Wameoga'' - Kamwelwe

CURRENT AFFAIRS
CHADEMA yatoa maagizo matatu kuhusu Halima Mdee

SPORT
Etienne Ndayiragije awatisha wababe wa SimbaMOST POPULAR

CURRENT AFFAIRS
Kauli ya kwanza ya JPM, Lissu kukosa Ubunge

SPORT
Manara amvaa Kindoki, mwenyewe ampa majibu haya

CURRENT AFFAIRS
Fatma Karume azungumzia kauli ya Makonda

CURRENT AFFAIRS
Rais Magufuli amtumbua Mkuu wa Mkoa

SPORT
Alichokisema Prof Jay kuhusu kauli ya Paul Makonda
ABOUT US
ABOUT USADVERTISEJOBSTERMS & CONDITIONSCONTACT USFREQUENTLY ASKED QUESTIONS
NETWORK
IPP MEDIAEAST AFRICA RADIOITVRADIO ONECAPITAL RADIOLOKOPROMO
© 2019 East Africa Television Limited. All Rights Reserved


Mbunge aeleza sababu ya kumchagua Alikiba | East Africa Television
Online Dating Sites That May Actually Surprise You
Dating Sites | Search Ads
|
Sponsored
Getting a Job in Australia Might be Easier Than You Think
Jobs in Australia | Search Ads
|
Sponsored
X
About us
Advertise
Jobs

Terms & Conditions
Contact us
Frequently asked questions