With the Festival already underway, his consistent plea to masses is to attend and get tested during the global tour.

In conjunction with Tanzania Commission for AIDS (TACAIDS), Chibu emphasizes the importance of knowing your HIV status.

Additionally informing his followers that his Wasafi team has put in place necessary measures to ensure easy access to the HIV testing facilities.

Ameandika Diamond Kupitia Ukurasa wake wa Instagram:
Kupima Virusi Vya UKIMWI ni jambo jema kwako kwa kuwa linakuwezesha kujua hali yako na kuweza kupanga maisha yako ili kufikia malengo uliyojiwekea. Kijana wa kitanzania usikubali kuishi bila kujua hali ya afya yako. Pima | Jitambue | Ishi Kwa kulitambua Hilo Wasafi Festival 2019 kwa kushirikiana na TACAIDS wameandaa utaratibu wa kuweka mabanda kwa ajili ya kupima VVU katika kila mkoa ambapo Tamasha Hili la Ki Historia linafanyika. @tacaidsinfo


Mixed reactions na Maoni ya Wadau
However, his post has attracted mixed reactions with some of the sentiments aired being:

Gigy_money_og Tunapima leo ๐Ÿ™ŒwoyooRayctanzania Yani we unataka watu wazimie kabla ya show!๐Ÿ™†‍♂️Kitoukooh_๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚daaah haya mambo ya kupima nyie unawahi kufa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚tena hufi kwa ukimwi unakufa kwa stress๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kitoukooh_@3classic_baby๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚mwenzangu mm ukimwi sina coz nalindwa na damu ya yesu ๐Ÿ˜‚ata nikisex na mtu mwenye ukimwi mm hanipat nakemea pepo ukimwi tokaaaaaa๐Ÿ˜‚Nyalkasitta Simbaa we umepima lkn 2onexhe majib yko kaka๐Ÿคฃ๐ŸคฃAronichota@nyalkasitta smb wte tumepim ndio maan Tim yt inafny vizur ila wenzetu nawaswas fowad wao wanaumw maan kufung hawajui wakifik golin wanapg kasutiiii kadogo sio shutiiiiiMullastar255  ukienda sana hospitalini kupima kila wakati inasemekana kwamba utakipata unachokitafuta.ni kama kwenye Biblia imeandikwa atafutaye kwa bidii hupataRwegasira_arnold Mh kupima tena hapana bora nikae hivi hivi kama vipo poa nitakua sijui_Maleek21 Tatizo mzee baba linapo kuja Kwenye kuchukua majibu madoctor huwa wanatuogopesha kinoma hadi mtu unaamua ukimbie tu uache majibu ๐Ÿ˜‚Officiialikiba Wewe umepima #jokes