Muigizaji wa filamu za Bongomovies IRENE Uwoya AOMBA Connection kwa Rc Paul Makonda  Kufuatia Ugeni wa SADC... Ataka Kitengo cha kumpokea Mfalme Mswati na wageni wengine Awekwe yeye, Adai yeye ni mcheshi sana na anajua sehemu mbali mbali za Dar es salaam hivyo atawatembeze na pia kuhusu ulinzi amedai kuwa yeye amepitia Scout na alikuwa kiongozi...Pia amesema kuwa Hamisa Mobetto nae amekubali kusaidia Jambo hilo la Kuwapokea Wageni

VIDEO: