LEO simba inarusha kete yake ya kwanza kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ambapo itacheza na JKT Tanzania.

Simba ni mabingwa watetezi wanaanza kazi wakiwa wametolewa kwenye michuano ya kimataifa na UD do Sngo ya Msumbiji kwa faida ya bao la ugenini.

Habari zinaeleza kuwa hawa hapa kuna hatihati ya wachezaji hawa kuikosa mechi ya leo kutokana na kusumbuliwa na majeruhi licha ya kuanza mazoezi mepesi.

John Bocco, Wilker Henrique ambao wanasumbuliwa na goti pamoja na Jonas Mkude ambaye anahoma.

Ibrahim Ajib bado hajawa fiti kwa sasa ila ameanza mazoezi mepesi.