Baada ya kuitumikia Baroka FC kwa miaka miwili, beki Abdi Banda kutoka #Tanzania ameachana na klabu hiyo na kujiunga Highlands Park FC ya Afrika Kusini. Baroka FC ilimaliza ligi ikiwa nafasi ya 14, huku Highlands Park ikimaliza ikiwa ya 7 kati ya timu 16 zinazoshiriki ligi hiyo.