RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mshauri wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Abdalla Mwinyi alipowasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Taifa Kampasi ya Bertras, kuhudhuria Sala ya Eid El Hajj. (Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk.Ali Mohamed Shein, akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Sala ya Eid El Hajj iliofanyika katika viwanja Chuo Cha Taifa SUZA Kampasi ya Bertars Wilaya ya Magharibi A Unguja. (Picha na Ikulu).
BAADHI ya Waumini wa Dini ya Kiislam wakifuatilia hutba ya Sala ya Eid El Hajj iliofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Kampasi ya Betras Wilaya ya Magharibi A Unguja.(Picha Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakifuatilia hutba ya Sala ya Eid El Hajj katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar Kampasi ya Betras Wilaya ya Magharibi Unguyja ikisomwa na Sheikh Tawaha Huein Twaha baada ya kumalizika kwa Sala hiyo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Viongozi wa Dini na Serikali wakiitikia dua ikisomwa na Kadhi Dhamana wa Wilaya ya Magharibi A Unguja Sheikh Othman Haji Chum.(Picha na Ikulu)
KADHI Dhamana wa Wiliya ya Magharibi A Unguja Sheikh Othman Haji Chum akisoma dua baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid El Hajj iliofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Kampasi ya Bertras Wilaya ya Magharibi A Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsalimiana Mtoto Mundhiri Machano baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid El Hajj iliofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Kampasi ya Bertras Wilaya ya Magharibi A Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Masheikh wa Wilaya ya Magharibi A Unguja katika ukumbi wa Ikulu Ndogio Kibweni Zanzibar Wilaya ya Magharibi A Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Alim Mohamed Shein na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,. Balozi Seif Ali Iddi wakiitikia dua ikisoma na Kadhi wa Rufaa Kisiwani Pemba Sheikh Daud Khamis Salum, baada ya kumalizika hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Wilaya ya Magharibi A Unguja Kibweni.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Alhajj Ali Mohamed Shein, akihutubia Baraza la Eid El Hajj katika viwanja vya Dole Wilaya ya Magharibi A Unguja.(Picha na Ikulu)