Frederick Richard anasema juzi ndiyo yeye na Familia yake wamethibitisha kwamba alipewa majibu ya Mtu mwingine kimakosa Hospitali alipokwenda kupima afya yake na kuambiwa kwamba ana virusi vya UKIMWI, miaka 10 baadae wamekuja kujiridhisha kwamba hana virusi vya UKIMWI bali alipewa majibu ya Mtu mwingine, bonyeza hapa chini kumtazama mwanzo mwisho