Mwimbaji Juma mefika Mkoani Morogoro kutoa pole kutokana na ajali ya moto iliyotokea hivi karibuni, Jux pia alikutana na Mkuu wa Mkoa Kebwe Steven na baadae kutoa msaada wa dawa na maji baada ya kuambiwa ndio upungufu uliopo kwenye Hospitali ya Mkoa ambayo inahudumia baadhi ya Majeruhi.