Mwanadada Nandy anayefanya vizuri hivi sasa ametoa sababu za kutoonekana kwenye Tamasha la Wasafi festival japo kuwa yeye ni moja ya Wasanii wanaofanya vizuri kwa hivi sasa.

Kwenye moja ya interview yake Nandy aliulizwa, Nandy sasa hivi unafanya vizuri sana tulitegemea kukuona kwenye tamashal la Wasafi festival lakini kimya tatizo nini?

"Mbona wao hawapo ujaniuliza kwanini hawapo kwenye Nandy Festival lakini nahisi ni mambo ya ratiba hayo mengine ni inshu za Management" alijibu Nandy