Meneja wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Mkubwa Fella amefunguka mengi sana kuhusu mikataba ya wasanii katika lebo ya WCB baada ya Harmonize kuomba kuondoka Wasafi.

Akiongea na Bongo5 Meneja huyo ameeleza haya:-