Serikali ya Kenya imemkamata Mchungaji mmoja nchini humo aliyemleta Yesu bandia na kuwadanganya waumini wake kuwa Yesu karudi.

Yesu huyo bandia alikuwa akikusanya fedha nyingi za waumini akiwaambia kuwa atakapo rudi mbinguni akawaandalie makao ya kudumu huko mbinguni kwa hiyo anahitaji pesa nyingi za kununulia Cement, Bati, Nondo na matofali.