Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiongozana na mke wa Rais wa Namibia Mama Monica Geingos (kushoto) Mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe(wa pili kulia) na Mke wa Waziri Mkuu wa Eswatini Mama Dlamini (kulia) wakati alipowatembeza wake hao wa viongozi wakuu wa Jumuiya ya endeleo ya Kusini mwa Afrika SADC kujione nyumba za kiasili kwenye Kijiji cha Makumbusho Kijitonyama jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 17, 2019

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa katika picha ya kumbukumbu mbele ya nyumba ya kiasili na Mke wa Rais wa Comorro MamaAssoumani Mke wa Waziri Mkuu wa Eswatini Mama Dlamini mke wa Rais waNamibia Mama Moca Geingos na Mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe wakati alipowatembeza wake hao wa viongozi wakuu wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC kujione nyumba za kiasili kwenye Kijiji cha Makumbusho Kijitonyama jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 17, 2019. (PICHA NA IKULU).