‘Lynn’ amelipuka vilivyo kutokana na watu kumsema kuwa anadanga. Lynn ameliambia Gazeti la Ijumaa Wikienda kuwa, wanaosema anadanga, hivi karibuni atawapa majibu yake kwa sababu wanafikiri ni kitu kizuri kumwambia hivyo mtoto wa binadamu mwenzao.

“Hivi wanafikiri kudanga ni kitu rahisi kama wanavyodhani, basi kama nadanga nitawaonesha siku moja jinsi navyodanga ili waseme vizuri,” alisema Lynn