Taja mboga unayoipenda…. na wakati ukitaja, Given (22) anasema Mboga anayoipenda ni nyama ya panya buku ambayo kwa miaka 6 sasa hivi amekua akiitumia kama kitoweo cha mchana au jioni, imekuaje? katuonesha kuanzia anavyoiandaa na kuichoma

VIDEO: