Mahakama ya Mwanzo ya Mwandiga, wilayani Kigoma imemtia hatiani kwa kosa la kumshambulia trafiki diwani wa Kata ya Mwanga Kaskazini (ACT Wazalendo), Cryton Chipando maarufu Baba Levo na amehukumiwa kwenda jela miezi mitano.