“Unapiganaje na mke mwenzio? Yeye akirusha risasi wewe rusha atomic. Yeye akimpikia bwana chapati wewe pika mkate wa ufuta, kuku na ndizi za kupaka. Sasa unagombanaje na mke wenzako ? Hakuna haja ya kugombana na mke mwenzio wewe fanya vitu ili mwanaume azidishe mapenzi upande wako. Watu wa siku hizi hawajui bajeti ya mapenzi kazi kufokafoka tu”- Khadija Kopa.

Toa maoni yako