Rais Magufuli jana akitoa hutoba katika mkutano wa 39 SADC amesema kuwa Tanzania ina warembo wengi na wanaume watanashati wengi kwa hiyo tumieni fursa kwa wenye kutaka kuoa na kueolewa Tanzania ina wanawake wengi warembo na wanaume watanashati tele, waheshimiwa viongozi wageni waalikwa mabibi na mabwana hivyo tumieni fursa hiyo msiondoke hivihivi.

"Nchi nyingine SADC, Hata mkitaka kuoa Tanzania kuna wanawake warembo wengi na wanaume watanashati tele hapa Tanzania, Kwa hiyo msishindwe kutumia hiyo fursa." - Rais Magufuli