Salim Mohamed mkazi wa Tuangoma DSM, anaishi bila ulimi kwa takribani miaka kadhaa sasa, Salim anasumbuliwa na kansa ambayo ilianza kama kipele mdomoni lakini kila baada ya muda kiliongezeka ukubwa na alipoenda Hospitali akaambiwa aende India.

Japo ilikuwa ni kwa mbinde kutokana na hali ya kiuchumi lakini Salim alifanikiwa kwenda India na alikatwa ulimi na kuwekewa nyama iliyotolewa kwenye paja lakini baada ya kurejea Tanzania nyama ile nayo imeisha na sasa hana ulimi kabisa, limebakia shimo tu mdomoni. Bonyeza hapa chini kutazama mwanzo mwisho.

VIDEO: