IMETHIBITISHWA: Kamanda “Watu zaidi ya 57 wafariki Morogoro” (+video)

Leo August 10, 2019 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Willbroad Mutafungwaakizungumzia ajali ya lori la mafuta kuwaka moto na kuunguza watu Mkoani humo.
“Gari lililokuwa limebeba Petrol lilipinduka, baada ya kupinduka mafuta yalimwagika watu wa eneo walijitokeza kuchota mafuta, moto ukalipuka takriban WATU ZAIDI YA 57 wamefariki” RPC Morogoro Mutafungwa