FAHAMU : Tofauti kati ya Diamond na Alikiba ,Diamond analazimisha umpende iwe isiwe utampenda tu kwa sababu ya bidii yake .

Alikiba automatically anapendwa tu sasa hii ndo inampa kiburi mpaka anafeli .... WEWE UNAONAJE??

TOA MAONI YAKO HAPA