Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu ‘Sugu’ leo August 31, 2019 anafunga ndoa Takatifu na Mchumba wake Happiness Msonga katika Kanisa Katoliki Ruanda.