CHANZO: Teja alichomoa betri gari likalipuka, Mume na mke wamebanwa” (+video)

“Nilifika hapa nikakuta gari imedondoka, watu walikuwa wamebanwa ambapo ni Dereva na Mwanamke, watu wakawa wanaiba mafuta, chanzo cha ajali teja aliiba betri, wakati anavuta gari ikalipuka” Shuhuda