Watu zaidi ya 50 wanasadikiwa wamekufa baada ya lori la mafuta kupinduka na kuwaka moto eneo la Itigi- Msamvu mkoani Morogoro. 

Inadaiwa chanzo cha ajali hiyo ni watu kutaka kuiba betri kutoka kwenye tenki hilo lililokuwa limepinduka leo asubuhi huku wengine wakiiba mafuta ndipo moto ukalipuka. Habari kamili itawajia hivi punde.