Ndege Tropical iliyokuwa ikitokea Mafia kuelekea jijini Dar es Salaam imepata ajali na muda huu majira ya saa 5 asubuhi Agosti 6, 2019 na kuungua. Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali wamesema kuwa ajali hiyo imesababishwa baada ya rubani kugonga fensi ya ukuta. Habari kamili zitawafikia punde.