Basi la kampuni ya Hood lenye namba T 779 AVL lililokuwa likitokea mkoani Arusha kuelekea Mbeya limepata ajali katika kijiji cha Uchira wilayani Moshi.
Ajali hiyo imetokea majira ya saa 1:30 asubuhi leo Agosti 4, 2019 abiria wote wako salama.
Chanzo #AzamTV