Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura amemtembelea Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini.