Mkurugenzi wa mashtaka nchini Kenya Noordin Haji amesema waziri huyo atashtakiwa na maafisa wengine kuhusiana na kashfa inayogubika kandarasi ya ujenzi wa mabwawa mawilili.