Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Polisi, Uhamiaji na Magereza wakati wa kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya wizara.Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa wizara jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Polisi, Uhamiaji na Magereza (hawapo pichani), kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya wizara.Kulia ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo Meja Jenerali Jacob Kingu.Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa wizara jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu,akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Polisi, Uhamiaji na Magereza (hawapo pichani), wakati wa kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya wizara. Kulia ni Waziri wa wizara hiyo Kangi Lugola. Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa wizara jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia),Katibu Mkuu wa Wizara hiyo,Meja Jenerali Jacob Kingu na Kamishna wa Polisi Benedict Wakulyamba, wakipitia vitabu wakati wa kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya wizara.Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa wizara jijini Dodoma.
Kamishna wa Magereza, Faustine Kasike akizungumza wakati wa Kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya wizara.Kulia ni Kamishna wa Uhamiaji Dk. Anna Makakala.Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa wizara jijini Dodoma.
Kamishna wa Uhamiaji ,Dk. Anna Makakala akizungumza wakati wa kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya wizara.Kushoto ni Kamishna wa Magereza Faustine Kasike.Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa wizara jijini Dodoma.
Kamishna wa Polisi, Benedict Wakulyamba akizungumza wakati wa kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya wizara.Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa wizara jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.