Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo amesema kuwa kuna kipindi taarifa kuwa yeye ana wake nne.

Waziri Jafo amesema kuwa ukweli halisi ni kwamba yeye ana wake watatu wa ndoa na bado ana nafasi moja ambayo iko wapi.

Kuna kipindi taarifa zilivuma kuwa Mheshimiwa Jaffo ana Wake wanne, ukweli halisi huu hapa.

“Mimi nina Wake watatu wa Ndoa, bado nina nafasi moja iko wazi, kwa hiyo kama utataka hiyo nafasi iliyoko wazi inabidi utume maombi kwa hao wake zangu.” amesema Selemani Jaffo katika mahojiano yake katika kipindi cha 360 cha Clouds Tv.