Msanii wa muziki wa Bongo freva Tunda Man ameonyesha mahaba kwa mke wake na kuamua kumnunulia Gari.

Tunda man kupitia istagramu Yake ameandika hivi "Nakupenda mke wangu jumatatu nimeamka sikuoni home Haya angalia usigonge tu huko"