Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) akiagana na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)