Kikosi cha Mabingwa wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL), Simba SC leo kitaondoka nchini kwenda Afrika Kusini ambapo kitakuwepo huko kufanya mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya.