RAYVANNY  Feat DIAMOND PLATNUMZ  Vumbi (Lyrics)

Kimbunga hicho Kimbunga hicho Kimbunga hicho Yaani tunazoa zoa 

Its S2kizzy beiby 
Mwaga jasho miguu iwake moto Timua vumbi, timua!
 Kisigino kibebwe na ugoko Timua vumbi, timua! 
Ruka ruka tusiamshe popo Timua vumbi, timua!

 Vua shati ukisikia joto Timua vumbi, timua! Saa tunakisanua, vumbi! 
Tunawachafua, vumbi! 
Tunawapa mafua, vumbi! Vumbi, timua vumbi! 
Tunakata funua, vumbi! Wakazingua, vumbi! 
Tunawapa mafua, vumbi! Vumbi, timua vumbi! 
Wanatukimbiza Wasafi eeh Wapo makundi makundi Lakini hawatupati eeh Tunawaachia vumbi Timua vumbi, timua! Timua vumbi, timua! 
Timua vumbi, timua! Timua vumbi, timua! Timua vumbi, timua! 
Timua vumbi, timua! Timua vumbi, timua! 
Timua vumbi, timua! Oooh kama mashine ya koboa mpunga Timua vumbi, timua! 
Aah Tsunami changanya na kimbunga Timua vumbi, timua!

 Kama gwaride ka la jeshi, timua Kwa mchanga simiti, 
timua Chana jamvi kapeti, timua Timua vumbi, timua Timua mchanga
 Kama unalicheza vanga Mzuka ukipanda Vua shati kama mwanga Timua mchanga Kama unalicheza vanga Mzuka ukipanda 
Vua shati kama mwanga Asa kachili saga, saga saga Kamatia zaga, zaga zaga 

Nisugulie gaga, gaga gaga Kinaga ubaga, twende Timua! Timua vumbi, timua! 
Timua vumbi, timua! Timua vumbi, timua! 
Timua vumbi, timua! Timua vumbi, timua! T
imua vumbi, timua! Timua vumbi, timua! 
Timua vumbi, timua!

 Mwendo kama farasi Ooh ooh tunawatimua timua! Kasi kama risasi Ooh ooh tunawatimua timua! Tuko nduki kibati Ooh ooh tunawatimua timua! Hawatukamati Ooh ooh tunawatimua timua! Shika! Hasa kitimue, timu! timu!

 Yaani chimba, timu timu! Fukua fukua, timu! timu! Chimba chimba, timu! timu! Eeeh vidole chepeo, timu! timu! Kiuno mpini, timu! timu! Fanya kama goleo, timu! timu! Ifukue kwa chini, timu! timu!