Balozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Mhe .Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk, kulia akiwasilisha Salamu za rambirambi kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein kwa Mtawala wa Sharjah Sheikh Khalid bin Sultan Mohammed Al Qasimi, kushoto hafla hiyo imefanyika katika makazi yake Sharjah. (Picha na Ikulu)