Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku moja Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati akiagana na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku moja Chato mkoani Geita.
Rais wa Uganda Yoweri Museveni akizungumza na wananchi wa Nyabilezi kabla ya kuondoka na kurejea nchini kwake Uganda. Rais Museveni ameahidi kujenga madarasa saba kwa ajili ya Shule ya Msingi Nyabilezi Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakati akielekea kupanda ndege mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku moja Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakizungumza na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia kwaya ya watoto wa Shule ya Msingi Kalembo Umitashunta mara baada ya kumsindikiza mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kwaya pamoja na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakati akimsindikiza . PICHA NA IKULU.