Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela, Lucy Mganga kwa kutoridhishwa na utendaji kazi wake.

Taarifa ya utenguzi huo imetolewa leo jijini Dodoma na waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo.