Harmonize aliniita ili anisimamie ili kunirudisha kwenye Game baada ya kuona trend yangu sio nzuri na tumerecord nyimbo tatu 3 pamoja na yeye japo hazijaachiwa lakini kuhusu kunipa gari sikutegemea kabisa namshukuru sana mdogo wangu kaniona kaka yake nina tatizo la kuwa na usafiri kaninunulia gari Mungu ampe afya njema awasaidie na wengine zaidi " - Q Chief.