Viongozi mbalimbali Wastaafu na waliopo Madarakani wakiongozwa na Rais Mstaafu Alli Hassan Mwinyi,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Self Ali Idd wamepamba harusi ya Mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, Robert Lowassa na mkewe Stephanie Kaaya.