Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wananchi katika stesheni ya Kisaki wakati akiondoka kwa treni ya TAZARA iliyomchukua kwenda na kurudi kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa kuzalisha umeme MW 2,115 wa Rufiji katikati ya mkoa wa Pwani na Morogoro