July 5, 2019 yamefanyika makubaliano ya kufanya kazi kwa pamoja kati ya Mwana F.A, P Funk pamoja na William Mtitu chini ya usimamizi wa moja kati ya ofisi kubwa za Mawakili Tanzania inayojulikana kwa jina la ABC Attorneys wanaojihusisha na masuala ya haki miliki na haki shirikishi haswa maswala ya wasanii.