Siku ya Jana julai 29 mshehereshaji Maarufu hapa Nchini MC Pilipili amepost Picha akiwa na Mkewe Qute Mena  wakionekana wanafuraha baada ya anniversary ya mwezi mmoja.Mc Pilipili kupitia istagramu Yake aliandika "Leo ni anniversary yetu ya mwezi mmoja Katika Ndoa takatifu

Leo tar 29 mimi na mke wangu Mpenzi @qute_menakama una neno au pongezi au ushauUstunapokea app chini tiririka au Kama unataka kunitumia mpesa 0755_024954 Kama pongezi" Baada ya posting hiyo wadau walitiririka huku wengi was wakimtolea Povu Wakidai wamewachoka kila siku was na mapicha Picha na kuwapa Ushauri wawe bize kutafuta Mtoto sasa na sio muda wote kushinda kwenye mitandao